Kilimo cha Kitunguu

Habari ndugu zangu. Naomba kujua kuhusu kilimo cha kilitunguu, gharama za kulima, mbegu nzuri mpaka muda huu 2025, na faida kwa eka moja endapo mtu akilima vizuri, msimu wa kitunguu, bei ya kitunguu na muda mzuri wa kuanza kupanda.